
KATI YA BARCELONA NA NAPOLI NANI KUKUPA PESA LEO?
Huku ukiwa unajiuliza ni wapi utapata pesa za haraka sana siku hii ya leo, basi mimi nakwambia hivi chimbo ni moja tuu, ambapo ni meridianbet ambao wanakupa kile ambacho wewe unakitaka, yani machaguo yote uyatakayo. Kivumbi kitaanzia hapa BUNDESLIGA leo ambapo majira ya saa 4:45 usiku VFB Stuttgart atamualika Union Berlin ambao bado wanachechemea kujiweka…