
ISHU YA KISINDA TUISILA KURUDI YANGA IPO HIVI
WINGA machachari wa RS Berkane ya nchini Morocco, Tuisila Kisinda ameonekana kuwagawa mabosi wa timu hiyo, katika mipango ya kutaka kumrejesha kikosini hapo msimu ujao. Hivi karibuni tetesi zilienea za winga huyo kurejeshwa Yanga katika msimu ujao kwa kile kilichoelezwa kuachana na klabu yake ya Berkane. Yanga ilimuuza Kisinda msimu uliopita kwenda Berkane kwa dau…