
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA AZAM FC
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Mei 9 2024 uongozi wa Simba umebainisha kwamba bado haujamaliza. Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda ina kazi yakusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC ambao nao wanazihitaji pointi tatu pia. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa…