
SIMBA KAZINI UWANJA WA MAJALIWA
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuwa uwanjani leo kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Namungo, Aprili 30 2024. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Uhuru ubao ulisoma Simba 1-1 Namungo FC walipogawana pointi mojamoja. Mchezo uliopita kwa Simba ambao ulikuwa ni wa mwisho kwa Abdelhakh Benchikha kukaa benchi ilikuwa Aprili…