Nyota wa Ghana, Semenyo, Asajiliwa Manchester City
Klabu ya Manchester City imetangaza kumsajili winga Antoine Semenyo kwa ada ya pauni milioni 62.5 (Euro milioni 72) kutoka klabu ya AFC Bournemouth. Semenyo 26, raia wa Ghana amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo mpaka Juni 2031 na atavaa jezi namba 42 iliyowahi kuvaliwa na nyota wa zamani wa Man City na Ivory Coast. Bournemouth…