
ZAIDI YA BILIONI 283 ZIMETOLEWA WIZARA YA MICHEZO
NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema kuwa zaidi ya bilioni 283 zimetolewa kwenye wizara ya michezo ikiwa ni mara 8 zaidi ya bajeti ya awali. Mwinjuma ameweka wazi kuwa shukrani zote ni kwa mwanamichezo namba moja Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye jitihada zake za kuunga mkono maaendeleo ya michezo zinaendelea….