
KMC YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA SIMBA
UBAO wa Uwanja wa Azam Complex baada ya dakika 90 umesoma KMC 2-2 Simba na kuwafanya wababe hawa wagawane pointi mojamoja. Katika mchezo wa leo KMC walianza kwa kuchukua tahadhari kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza walipata bao la kuongoza dakika 30 kupitia kwa Wazir Junior aliyefunga bao la pili pia dakika ya 88. Kwa Simba…