
YANGA KAZINI TENA LIGI KUU BARA
KAZI inaendelea ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo vinara wa ligi na mabingwa watetezi Yanga wanatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Geita Gold. Migue Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex….