
YANGA KUSEPA KUWAFUATAA WAARABU
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 0-0 Club Africain, mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wawakilishi hao wa Tanzania kimataifa wanatarajiwa kusepa leo. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Waarabu hao wa Tunisia, Novemba 9,2022. Wanahitaji ushindi wa aina yoyote ama sare ya kufungana…