NYOTA SIMBA ASHUSHA PRESHA, YUPO FITI KWA KAZI

KIUNGO wa Simba raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo amerejea nchini akitokea nyumbani kwao kwa ajili ya matibabu na sasa anaendelea vizuri akisubiria taratibu za kurejea uwanjani kuipambania timu yake. Kiungo huyo wiki moja iliyopita aliomba ruhusa kwa uongozi wa Simba ili arejee nyumbani kwao kwa ajili ya kwenda kujiuguza majeraha yake ya goti ambayo…

Read More

MWAMBA HUYU SIMBA KUWAPA TABU KWELIKWELI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa nyota wao Fabrince Ngoma bado anajitafuta licha ya kuonyesha uwezo kwenye mechi za ligi ambazo alipata nafasi ya kucheza. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ni mechi tatu kacheza akikomba dakika 225, katupia bao moja ilikuwa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu. Wachezaji wa Simba, Oktoba Mosi…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE KIMATAIFA WAONGEZEWA NGUVU

WAKIWA katika maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Future, Singida Fountain Gate kutoka Tanzania wameongezewa nguvu kupitia viongozi waliofika kambini. Wawakilishi hao kwenye anga la kimataifa Oktoba Mosi watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Future. Septemba 28, 2023 ugeni kutoka kwa viongozi ikiwa ni pamoja na waziri…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

KOCHA Mkuu wa Azam FC Yusuph Dabo amesema kuwa watafanyia kazi makosa yaliyopita kwenye mchezo wao dhidi ya Singida Fountain Gate ili kuendelea kupata ushindi. Katika mchezo huo Azam FC ilipata bao la ushindi dakika ya 90 kupitia kwa nyota wao Idd Suleiman, (Nado) alimtungua kipa wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya. Singida Fountain Gate…

Read More

TUSIJUMUISHE USHABIKI KWENYE MASUALA YA KUUMIZWA KWA INONGA

WAKATI mwingine si vibaya kusema mashabiki wa mpira na hasa Tanzania wamekuwa na mambo mengi sana yanayopaswa kulaaniwa. Binafsi nayaona ni masuala ambayo yanaonyesha ushabiki kupindukia wakati mwingine unakuwa ni tatizo kubwa sana. Ushabiki wa aina hiyo umewafanya mashabiki wengi washindwe kujitambua na ndio maana umeona baadhi ya mashabiki au wahamasishaji wanaotangaza zaidi chuki wamekuwa…

Read More

CHAMA GARI LIMEWAKA HUKO

MWAMBA wa Lusak, Clatous Chama gari limeweka kutokana na kasi yake ya kufunga na kutengeneza mabao kuanza kurejea kwa namna yake. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Chama alikuwa ni namba moja kwa viungo waliotoa pasi nyingi ndani ya ligi ambazo ni 14. Msimu wa 2023/24 pasi yake ya kwanza aliitoa kwenye mchezo wa ligi dhidi…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wote ni muhimu kuendelea kupambana kwenye mechi zote ili kuwapa burudani mashabiki na kupata matokeo chanya. Timu hiyo mchezo wake uliopita ilikomba pointi tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Dabo ameweka wazi kuwa bado wachezaji wanaonyesha…

Read More

BOSI SIMBA AMPA TUZO JEAN BALEKE

AKIWA na mabao matano kibindoni mshambuliaji wa Simba Jean Baleke amepewa kiatu cha ufungaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Ni Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa kwa namna mshambuliaji huyo alivyo na kasi ya kufunga kuna nafasi kubwa kwa nyota huyo kuwa mfungaji bora….

Read More

AZAM FC HAWAPOI

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yusuph Dabo amesema kuwa kikubwa ambacho wachezaji wake wanatakiwa kukifanya ikiwa ni pamoja na kiungo Feisal Salum, mshambuliaji Prince Dube ni kujitoa muda wote kutafuta ushindi. Timu hiyo maskani yake ni Dar inatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani. Kwenye ligi baada ya kucheza mechi mbili ni…

Read More

SHABIKI YANGA AKOMBA MKWANJA MREFU NA M-BET

SHABIKI wa Klabu ya Yanga Paulo  Martin ameshinda  Sh120,989,610 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet. Martin ni mjasiriamali alikabidhiwa fedha zake na Mkurugenzi wa Masoko wa  M-Bet Tanzania, Allen Mushi katika hafla fupi iliyofanyika hivi karibuni Dar. Mushi alisema kuwa Martin anaungana na washindi wengine…

Read More

HIKI HAPA KINACHOMBEBA JEZI NAMBA SABA WA YANGA

NYOTA wa Yanga, Maxi Nzengeli amesema kuwa kinachombeba ndani ya kikosi hicho kuwa kwenye ubora ni ushirikiano ambao anapata kutoka kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi. Ndani ya kikosi cha Yanga yeye anavaa jezi namba saba mgongoni akiwa na uwezo wa kupanda na kushuka kwenye kutimiza majukumu yake. Nzengeli amepenya kikosi cha kwanza chini…

Read More

UKUBWA WA SIMBA UMESHAFAHAMIKA

INAKUJA African Super League ambayo itashirikisha timu kubwa nane tu za Afrika kutoka katika kila ukanda wa bara hilo. Upande wa Afrika Mashariki, kigogo wa ukanda wetu ni Simba ambao ndio wanawakilisha ukanda wote. Simba ndio timu kubwa na maarufu zaidi katika ukanda wa Cecafa na hasa unapozungumzia masuala yanayohusu Shirikisho la Soka Afrika na…

Read More