Tanzania 0-1 Zambia kuwania kufuzu Kombe la Dunia
TIMU ya taifa ya Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco imepoteza kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya Zambia katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan Oktoba 8 2025. Goli pekee la ushindi lilifungwa dakika ya 75 mfunganji Fashion Sakala akitumia pasi ya Lubambo Musonda likiwapa Zambia nafasi…