BEKI APEWA MKATABA MGUMU AKUBALI KUSAINI JANGWANI

MABOSI wa Yanga wamempa mkataba mgumu wa mwaka mmoja wenye masharti beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ hiyo ikiwa ni siku chache tangu beki huyo atambulishwe kuendelea kubakia kuichezea timu hiyo. Awali, beki huyo alikuwa katika mipango ya kuachwa pamoja na baadhi ya wachezaji akiwemo Yassin Mustapha, Deus Kaseke na Paul Godfrey ‘Boxer’. Taarifa…

Read More

MVP BANGALA DAKIKA ZAKE BONGO KWENYE LIGI

YEYE ni mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 ambapo kasepa na tuzo tatu mazima msimu huu. Ni tuzo ya kiungo bora baada ya kuwashinda Feisal Salum na Salum Abouhakari,’Sure Boy’ ,mchezaji bora baada ya kuwashinda Henock Inonga wa Simba nan a Fiston Mayele wa Yanga. Ile tuzo yake ya tatu ni…

Read More

BANDA APATA TIMU AFRIKA KUSINI

 MTANZANIA Abdi Banda amepata changamoto mpya kwa ajili ya kuonyesha uwezo wake kwa msimu mpya wa 2022/23. Banda ambaye ni nyota wa zamani wa Baroka FC ya Afrika Kusini amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea timu ya Chippas United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini.  Kabla ya kujiunga na Chippas Banda aliwahi kukipiga pia Highland…

Read More

VIDEO:MASHINE NYINGINE ZA SIMBA KUIBUKIA MISRI

UPNGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kufanya mazoezi kwa muda wa siku mbili wachezaji wengine ambao hawakujiunga na timu hiyo kambini nchini Misri wanatarajiwa kujiunga na timu hiyo. Wachezaji hao ni pamoja na Nassoro Kapama,Moses Phiri,Taddeo Lwanga na Peter Banda kwa mujibu wa Ahmed Ally,Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba.

Read More

MKAZI WA MANYARA AMESHINDA SH:106,809,410 ZA M BET

MKAZI wa Mkoa wa Manyara, Maraba Masheku, ameshinda Sh.106, 809, 410 baada ya kutabiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali za soka duniani kupitia droo ya M-Bet Tanzania ya Perfect 12. Masheku ambaye ni shabiki wa Simba Sports Club na Chelsea amesema haikuwa kazi rahisi kwake kushinda kiasi hicho cha fedha kutokana na ugumu…

Read More

MAKOCHA WATATU KUINOA SIMBA

SIMBA itakuwa na makocha wawili wasaidizi kwa msimu wa 2022/23 baada ya mmoja kuongezwa rasmi na atakuwa na majukumu mawili kwa wakati mmoja kwenye kikosi hicho. Tayari Kocha Mkuu ameshatangazwa ambaye ni Zoran Maki yupo na kikosi nchini Misri kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao ambapo alianza kazi na kocha mzawa msaidizi Seleman Matola….

Read More

TAIFA STARS WAANZA MAZOEZI

WACHEZAJI  wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameanza maandalizi kwa ajili ya michezo ya kufuzu CHAN 2023. Stars inayonolewa na Kocha Mkuu,Kim Poulsen inatarajiwa kucheza mechi mbili ndani ya mwezi huu wa Julai kuwania kufuzu CHAN. Itakuwa mchezo dhidi ya Somalia ambapo ule wa awali unatarajiwa kuchezwa Julai 23 na ule wa pili unatarajiwa…

Read More

NBC DODOMA INTERNATIONAL MARATHON JUMAPILI JULAI 31

IKIWA ni takribani wiki tatu zimesalia kuelekea NBC Dodoma International Marathon itakayofanyika siku ya Jumapili Julai 31, wanariadha wameendelea kujifua ili kushiriki mbio hizo za kimataifa. Leo tumeshuhudia klabu za wanariadha ya Kigamboni runners ikishirikiana na klabu ya wanariadha ya NBC Jogging club ambao wamefanya mazoezi ya pamoja kwa kukimbia kilomita 10 na kilomita 5…

Read More

COASTAL UNION WAMALIZANA NA KIPA

COASTAL Union wameanza na kuongeza nguvu kwenye ulinzi baada ya Julai 14,2022 kukamilisha usajili wa mlinda mlango namba mbili wa timu ya Taifa ya Comoro, Mahamoud Mroivili. Unakuwa ni usajili wa kwanza ndani ya Coastal Union inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda. Kipa huyo amepewa dili la miaka miwili kuweza kuitumikia timu hiyo kwa ajili…

Read More

KIUNGO YANGA AINGIA ANGA ZA SINGIDA BIG STARS

BAADA ya mabosi wa Yanga kumpa mkono wa kwa kheri nyota wao Deus Kaseke Julai 14 inaelezwa kuwa nyota huyo yupo kwenye mazungumzo na Singida Big Stars ili aweze kuwa ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23.  Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga iliweka wazi kwamba; “Umekuwa sehemu kubwa ya mchango wa mafanikio kwenye…

Read More

SIMBA WAMEANZA MAZOEZI MISRI

WASHINDI wa pili ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba tayari wameanza mazoezi nchini Misri ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23. Simba chini ya Kocha Mkuu, Zoran Maki ilifanikiwa kuwasili nchini Misri salama baada ya kusepa Bongo Julai 14,2022 mchana. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani…

Read More