
SIMBA WAKWEA PIPA KUELEKEA MALAWI
KIKOSI cha Simba ambacho kipo chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda leo Septemba 8 kimeanza safari kuelekea nchini Malawi. Safari hiyo ni kwa ajili ya kuelekea kufanya maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali dhidi ya Big Bullets ya Malawi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 10,2022 na ule wa marudio unatarajiwa…