HESABU ZA YANGA KIMATAIFA ZINAENDELEA KWA MTINDO HUU

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameanza kuwafuatilia wapinzani wake kimataifa katika hatua ya awali Ligi ya Mabingwa unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 7 na 9 Uwanja wa Mkapa. Yanga imetinga hatua hiyo kwa jumla ya ushindi wa mabao 9-0 dhidi ya Zalan FC katika mechi mbili ambazo wamecheza. Ni Al Hilal ya Sudan itamenyana na Yanga…

Read More

MATOKEO MABAYA YANALETA MTIKISIKO

MTIKISIKO unapatikana kila baada ya matokeo mabaya kwenye mioyo ya Watanzania baada ya matokeo mabovu huwa ni mkubwa. Hili linatokana na namna ambavyo kila mmoja anapenda kuona mafanikio kwa wachezaji wa ndani wanaocheza timu ya taifa. Haiajalishi ni Timu ya Taifa ya Wanawake, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ama timu ya Taifa ya…

Read More

AZAM FC YAIPIGIA HESABU TANZANIA PRISONS

BAADA ya kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mbeya City kwa ushindi wa bao 1-0, hesabu za Klabu ya Azam FC ni kwenye mchezo wao ujao dhidi ya Tanzania Prisons. Septemba 14, kikosi cha Azam FC kilirejea Dar na Ijumaa kilianza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Prisons…

Read More

KIMATAIFA SIMBA V YANGA KUCHEZA NA HIZI HAPA

LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya awali imekamilika na zile timu ambazo zimesonga mbele kimataifa zimewatambua wapinzani wao hatua inayofuata ikiwa ni pamoja na Yanga na Simba kutoka Tanzania. Hivi ndivyo ambavyo itakuwa kwa hatua ya kimataifa inayofuata itakuwa namna hii:- Rivers United v Wydad AC Plateau United v Espérance Tunis ASN Nigelec v Raja…

Read More

SIMBA YASONGA MBELE KIMATAIFA, PHIRI KAWA MCHARO

KATIKA mabao manne ambayo Simba imefunga kimataifa matatu yamefungwa na Moses Phiri ambaye kafunga mechi zote mbili hatua ya awali mfululizo. Mchezo wa awali uliochezwa nchini Malawi dhidi ya Big Bullets Phiri alitupia bao moja na lingine ni mali ya mzawa John Bocco. Leo Septemba 18,2022 wakati Simba ikishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Big…

Read More

UKUTA WA WANANCHI MGUMU DAKIKA 180 KIMATAIFA

UKUTA wa Yanga kimataifa ndani ya dakika 180 haujaokota bao katika hatua za awali mbele ya Zalan FC. Mchezo wa kwanza nyota wa Yanga ikiwa ni pamoja na Dickosn Job, Bakari Mwamnyeto, Kibwana Shomari hawakuokota bao sawa na ule wa pili, yote ilichezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao 9 wameweza kufunga Yanga na kinara wao…

Read More