
NGOMA NZITO NYANKUMBU, NTIBANZOKIZA ALA UMEME
JASHO la wanaume kwenye msako wa pointi tatu Uwanja wa Nyakumbu limegotea kwa kila mmoja kusepana pointi mojamoja. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Geita Gold 2-2 Mtibwa Sugar. Said Ntibanzokiza alipachika bao la kuongoza dakika ya 34 kwa mkwaju wa penalti na alitoa pasi moja ya bao kwa Juma Luizio dakika ya 45+4 Kwa…