
MBRAZIL ATUA NA MIKWARA MIZITO SIMBA
MBRAZIL atua na mikwara mzito Simba, Morrison apewa masharti mapya Yanga ndani ya Championi Jumatano
MBRAZIL atua na mikwara mzito Simba, Morrison apewa masharti mapya Yanga ndani ya Championi Jumatano
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ametua ndani ya ardhi ya Dar baada ya kuibukia Brazil ambapo alikuwa na masuala ya kifamilia. Kocha huyo ambaye amepewa mikoba ya Zoran Maki ameiongoza timu hiyo kwenye mechi mbili ilikuwa Simba 3-2 Mbeya City na Dodoma Jiji 0-1 Simba. Kigongo kinachofuata ni dhidi ya Singida Big Stars mchezo…
MZEE Mpili atoboasiri ya jezi mpya Yanga ambayo imezinduliwa kwa ajili ya mechi za kimataifa
INAELEZWA kuwa, licha ya kuzungumzia mafanikio ya Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, lakini mambo yanaweza kubadilika wakati wowote kikosini hapo na nafasi yake ikachukuliwa na kiungo wa zamani wa timu hiyo, Xabi Alonso. Klopp raia wa Ujerumani, ndiye alibadili mambo na kuweka historia klabuni hapo baada ya kutwaa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kufuta ukame…
LEO Uwanja wa Azam Complex, Azam FC itakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ikiwa ni kwa ajili ya kujipima timu hiyo ambayo imetinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho. Azam FC ilitinga hatua hiyo kwa ushindi…
MAYELE apewa mbinu kutusua kimataifa kwa kutupia mabao mengi
SIMBA watoa tamko zito, Musonda aanza jeuri Yanga SC ndani ya Spoti Xtra, Jumanne
MANZOKI akubali muziki wa Simba, aitabiria makubwa
JANUARI 30,2023 Yanga imezindua uzi wao mpya kwa ajili ya mechi za kimataifa ikiwa imetinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Februari 12 ina kibarua kwenye mchezo wa kimataifa. Kabla ya kusepa Bongo bado itakuwa na kazi ya kucheza mchezo mmoja wa ligi itakuwa dhidi…
KLABU ya Singida Big Stars kwa sasa ipo Dara kwa ajili ya maandalizi ya mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Ijumaa ikiwa ni mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza kugawana pointi mojamoja kwa kufungana bao 1-1. Ni nyota Kaseke anayetumikia adhabu…
WANACHAMA wa Simba wafungukia ishu ya uchaguzi wa Simba na hali yakufikia malengo yao kitaifa na kimataifa
HIVI ndivyo mvua ya mabao ilivyokuwa kwa Rhino Rangers huku Musonda akifungua akaunti ya mabao
Kampuni ya Habari ya Africa Media inayomilika vituo vya utangazaji Channel 10 na Magic FM, ambacho ni kituo cha matangazo ya redio, leo Januari 30, 2023 wamekabidhiwa Vifaa vya Michezo na Meridianbet kama vile Jezi kwaajili ya kufanyia mazoezi ya mwili. Meridianbet iliwakilishwa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu pamoja na…
MANZOKI:Huyu Baleke Simba wamepata jitu. Yanga waukwepa mtego wa Watunisia CAF ndani ya Championi Jumatatu
Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311. Tayari kwa sasa uongozi mpya umepatikana na kampeni muda wake umekwisha. Yale yote ambayo ymaetokea kwenye masuala ya uchaguzi pamoja na kampeni ni muhimu kuyafanyia kazi ili kuwa imara wakati ujao. Kwa walioshinda hongereni na tunatambua kwamba mmetoa ahadi kwa wachama na…
Murtaza Mangungu ameshinda kiti cha Uenyekiti wa klabu ya Simba kwa mara nyingine tena akimpiga chini mgombea Mwenza Moses Kaluwa kwa tofauti ya kura 266. Katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kuanzia jana Januari 29 hadi lao Januari 30, 2023 Mangungu alipata kura 1311…
YANGA imetinga hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 70-0 dhidi ya Rhino FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Vijana wa Rhino Rangers wameshuhudia mabao hayo dakika ya 7 kupitia kwa Dickson Ambundo, Kennedy Musonda dakika ya 15, Aziz KI dakika ya 19, Yannick Bangala dakika ya 26 n kiungo…