
SIMBA KAMILI KUWAKABILI WAARABU/ ORODHA HII HAPA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wao dhidi ya Al Masry na wameanza na mazoezi muda mfupi baada ya kufika Misri ili kuwa imara kwenye dakika 90 za ushindani. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa jambo ambalo linawafanya wafanye maandalizi…