
MERIDIANBET YAGAWA NGUO KWA BODABODA JIJINI DAR ES SALAAM
Bodaboda ni moja ya usafiri unaotumiwa sana na wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam, Mkoa wenye idadi kubwa ya watu kulinganisha na mikoa mingine Tanzania kwa mujibu wa sensa ya 2022 ikiwa na watu 5,383,728 ambayo ni sawa na asilimia 8.7 ya watu wote nchini. Usalama wa watu hawa na Madereva ni kitu muhimu…