
AZAM FC KWENYE KISASI KIMATAIFA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa wachezaji wapo tayari kwa mchezo wa leo wa kimataifa dhidi ya Bahir Dar Kenema ya Ethiopia. Ikumbukwe kwamba ni timu nne ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara zinaipeperusha bendera anga la kimataifa ikiwa ni Yanga na Simba hizi ni kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Singida Fountain Gate na Azam…