
TAIFA STARS KAZINI TENA KWA MKAPA CHAN 2024
VINARA wa kundi B Tanzania kesho watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Afrika ya Kati mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Stars ina uhakika wa kucheza hatua ya robo fainali. Kwenye mechi tatu imekusanya pointi tisa ikipata ushindi kwenye mechi zote muhimu. Ilifungua pazia Agosti 2 2025 kwa ushindi wa mabao 2-0…