
AMEANZA KUJIPATA CLATOUS CHAMA, LUIS BADO
MWAMBA Clatous Chama ndani ya Simba taratibu ameanza kujipata ndani ya kikosi hicho baada ya kutokuwa kwenye ubora wake kwa muda mrefu. Ikumbukwe kwamba kwenye ligi kafunga mabao mawili pekee na pasi moja ya bao msimu wa 2023/24.