
CONTE ATAJWA KURITHI MIKOBA YA OLE
KLABU ya Manchester United inatajwa kuwa mbioni kumfukuza kazi kocha wake, Ole Gunner Solskjaer baada ya kipigo cha 5-0 kutoka Liverpool. Kichapo hicho kimewakasirisha wengi ikiwa ni pamoja na mashabiki jambo ambalo limewafanya wasiwe na imani na kocha huyo. Taarifa zimeeleza kuwa mabosi wa United wamewasiliana na Kocha Antonio Conte ili kukaa mezani na kuzungumza…