SAKA KINACHOSUBIRIWA NI SAINI YAKE TU

BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa hatma ya mkataba wa winga wa timu hiyo Bukayo Saka itafahamika hivi karibuni. Saka amekuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Arsenal ambapo kocha wa timu hiyo anapambana kusuka kikosi upya. Winga huyo mkataba wake wa awali unamalizika Juni 2024 kikosini hapo. Timu za Manchester United, Manchester City na…

Read More

KANE AWEKA REKODI LIGI KUU ENGLAND

 MSHAMBULIAJI wa Tottenham, Harry Kane ameweka rekodi yake wakati timu hiyo ikishinda bao 1-0 dhidi ya Wolves kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana. Kane alivunja rekodi ya Aguero kwa kufikisha mabao 185 na kuwa mchezaji ambaye amefunga mabao mengi akiwa na timu moja ndani ya Ligi Kuu England. Nyota huyo amebeba tuzo ya…

Read More

GWIJI SUAREZ AMPA NENO NUNEZ

 GWIJI wa Liverpool, Luis Suarez, amemuonya Mruguay mwenzake, Darwin Nunez kujifunza kutoka kwenye makosa yake baada ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumpiga kichwa Joachim Anderson kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Crystal Palace. Mshambuliaji huyo anayeichezea Nacional kwa sasa anakumbukwa kwamba alikuwa ni mbabe na mtukutu katika miaka mitatu ambayo alitumika…

Read More

CASEMIRO HUYO MAN UNITED

MANCHESTER United imekubaliana na Real Madrid dili la kumsajili kiungo Casemiro kwa pauni milioni 60. Tayari pande zote zimeshakubaliana huku United pia ikiwa imeshakubaliana na Mbrazil huyo ambaye anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya wikiendi hii kabla ya kusaini mkataba wa miaka minne, Old Trafford. Mkataba huo unakipengele cha kuongeza mwaka mwingine zaidi ikiwa atafanya kazi…

Read More

NAHODHA MANCHESTER UNITED MAGUIRE KUPIGWA BENCHI

INAELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Manchester United, Eric ten Hag anafikiria kumpiga benchi nahodha wa timu hiyo, Harry Maguire. Itakuwa ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Liverpool unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Old Trafford. Mchezo huo ambao utakuwa na ushindani mkubwa unatarajiwa kuchezwa Jumatatu ijayo. Nyota huyo ameanza kwenye mechi mbili ambazo timu…

Read More

NUNEZ AOMBA RADHI

DARWIN Nunez, mshambuliaji wa Liverpool ameomba radhi kwa kitendo chake cha kumpiga kichwa beki wa Crytal Palace, Joachim Andersea akisisitiza kuwa amejifunza kutokana na makosa. Tukio hilo lilitokea kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Crystal Palace uliochezwa Uwanja wa Anfield, juzi Jumatano na kwa tukio hilo nyota huyo alitolewa kwa kadi nyekundu. Ni mchezo wa…

Read More

SOPU APEWA TUZO, KUIKOSA KAGERA SUGAR LEO

KIUNGO Abdul Suleiman ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC, alipewa zawadi ya kuku na shabiki wa Azam FC hivi karibuni, leo Agosti 17 atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar kwa kuwa alipata maumivu kwenye mazoezi. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa mchezaji huyo alipata maumivu baada…

Read More

KIUNGO SERGIO GOMEZ NI MALI YA CITY

SERGIO Gomez ambaye ni kiungo amesaini dili la miaka minne kuweza kuitumikia Klabu ya Manchester City. City ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu England wameinasa saini ya nyota huyo ili aweze kupata changamoto mpya ndani ya Ligi Kuu England. Nyota huyo mwenye miaka 21 amesajiliwa kwa dau la pauni milioni 11 akitokea Klabu ya Anderlecht…

Read More

TEN HAG AAMBIWA ALIKOSEA KUPANGA KIKOSI

CHAMBUZI wa masuala ya michezo Jamie Redknapp amemlaumu Kocha Mkuu wa Manchester United,Eric ten Hag kwa kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Brentford ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Jumamosi. United walipata tabu kwenye mchezo huo kwa mabao ya Josh Dasilva,Ben Mee,Bryan Mbuemo na Mathias Jensen. Licha ya kwamba kuna makosa ya washambuliaji…

Read More

JINA LA MESSI HALIPO KWENYE TUZO YA BALLON D’OR

JINA la Lionel Messi halijatajwa kwenye tuzo ya kuwania katika orodha ya wachezaji 30 ambao wanawania Tuzo ya Ballond’Or. Messi ambaye ana rekodi ya kubeba tuzo hiyo mara saba zikiwa ni nyingi kushinda wachezaji wengine hayupo kwenye orodha iliyotolewa Ijumaa. Sherehe za tuzo hiyo znatarajiwa kufanyika Oktoba 17 mwaka huu Paris,Ufaransa. Kwenye orodha hiyo,Messi anayecheza…

Read More

REAL MADRID WATWAA UEFA SUPER CUP

REAL Madrid wamebeba taji la UEFA Super Cup kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya EIntracht Frankfurt katika mchezo wa fainali uliokuwa na ushindani mkubwa.  Ni mabao ya David Alaba dk 37 na Karim Benzema dk ya 65 yaliweza kuipa taji timu hiyo katika fainali iliyochezwa Uwanja wa Helnsiki usiku wa kuamkia Agosti 11. Licha…

Read More

RAIS FIFA ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA KILA HATUA

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Dunia FIFA, Gianni Infantino amesema kuwa kukuza mpira wa Afrika kunahitaji ushirikiano mkubwa na kila mmoja ili kuweza kufikia mafanikio. Inafantino aliwasili Tanzania Agosti 9 alipokelwa na mwenyeji wake ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Wallace Karia pamoja na viongozi wa TFF ameweka wazi kuwa…

Read More

ARSENAL YAMSAKA WINGA KWA PAUNDI 40

 KLABU ya Arsenal imetuma ofa ya Paundi milioni 40 kwa Villarreal ya nchini Hispania kwa ajili ya kuinasa saini ya winga wa klabu hiyo Yeremy Pino. Mchezaji huyo ambaye pesa yake ya kuvunja mkataba ni paundi milioni 80, pia ameripotiwa kuwa kwenye rada za Liverpool ambao nao wanatarajiwa kutuma ofa ya kumnasa winga huyo. Arsenal…

Read More

KWENYE JUMUIYA YA MADOLA TANZANIA IMEPATA MEDALI

TANZANIA imehitimisha ushiriki wake katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola  jijini Birmingham, Uingereza, ikiwa katika nafasi ya 28 baada ya mategemeo yake manne ya mwisho kushindwa kuambulia chochote. Kwanza alianza bondia Yusuf Lucasi Changalawe kwa kupambana na  Sean Lazzerini wa Scotland katika nusu finali ya kwanza ya uzani wa 75kg-80kg (Light Heavyweight )…

Read More