
VIZINGITI VYA MABAO SIMBA V YANGA
KUMEPOA mtaani kama hakuna kilichotokea vile baada ya dakika 90, Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-0 Yanga na kufanya asiwepo mbabe. Hapa tunakuletea vizingiti vilivyosababisha mambo kuwa hivyo namna hii:- Manula Aliokoa hatari dk ya tano shuti la Jesus Moloko pia aliweza kuwa kizingiti kwa Moloko dk ya 49, dk ya 58 aliokoa hatari ya…