Tabasamu Zarejea Buguruni Baada ya Meridianbet Kuwafikia Wenye Mahitaji
Buguruni imekuwa moja ya maeneo yaliyoshuhudia tukio la kipekee lililojaa upendo, mshikamano na kujali baada ya Meridianbet kuendesha zoezi la kugawa vyakula kwa familia zenye uhitaji. Katika kipindi ambacho changamoto za kiuchumi zimekuwa zikigusa kaya nyingi, msaada huo umeonekana kuwa mwanga wa matumaini kwa wananchi waliokuwa wanahitaji msaada wa haraka wa mahitaji ya msingi. Kupitia…