
AZAM FC WAMEKIWASHA HUKO,DUBE NDANI
BAADA ya kumaliza kazi ya kusepa na pointi tatu muhimu mbele ya Mtibwa Sugar, matajiri wa Dar hesabu zao kwa sasa ni kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC iliibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wao uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar ilikuwa ni Novemba 30, Uwanja wa…