
LIVERPOOL ETI BILA ORIGI HAKUNA MPIRA
BAADA ya kupachika bao la ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu England dakika za lala salama, Divock Origi, mabosi wa timu hiyo wameweka wazi kuwa mpira bila nyota huyo bado haujakamilika. Orogi alipachika bao hilo dakika ya 90+4 mbele ya Wolves akitumia pasi ya mshambuliaji Mohamed Salah raia wa Misri akiwa ndani ya 18 kwa…