CONTE:KUANZA NA SARE NI MWENDO MZURI
Antonio Conte, Kocha Mkuu wa Tottenham amesema kuwa vijana wake wanahitaji muda zaidi kuweza kurejea kwenye ubora na kuonyesha kile ambacho wanacho ndani ya uwanja huku kuanza kwa sare ya bila kufungana akiamini kwamba ni mwendo mzuri wa kuanzia. Mrithi huyo wa mikoba ya Nuno Espirito ambaye alifutwa kazi ndani ya timu hiyo kutokana…