
SIMBA:TUTARUDI NA MABEGI YA POINTI BONGO
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa wanaamini kwamba watarudi na mabegi ya pointi mgongoni baada ya kukamilisha mchezo wa leo Februari 27 dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Simba ni vinara wa kundi D kwenye Kombe la Shirikisho wakiwa na pointi nne kibindoni wakiwa wamecheza mechi mbili, walishinda mbele ya ASEC Mimosas mabao…