MANCHESTER UNITED YAITULIZA ARSENAL
USHINDI wa Manchester United wa mabao 3-2 dhidi ya Arsenal umemfanya Kocha Mkuu, Ralf Rangnick kusema kuwa matumaini yake makubwa ni kuona timu hiyo inakuwa kwenye mwendelezo wa ushindi. Ni Arsenal inayonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta alikuwa wa kwanza kushuhudia wachezaji wake wakijaza bao kimiani ilikuwa ni kupitia Emile Smith Rowe dakika ya 13…