MKUTANO MKUU WA KAWAIDA WA CECAFA KUFANYIKA KESHO JUBA
Mkutano huo utakaohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 50 utafanyikia katika hoteli ya Imperial Plaza mjini Juba. Auka John Gecheo, Mkurugenzi Mtendaji wa CECAFA alithibitisha kuwa Rais wa WAFU A, Bajo Lamin Kaba, Rais UNIFAC, Maolas Jean Guy Blaise na makamu wa Rais wa WAFU B Gasua Ibrahim Musa watakuwa miongoni mwa wageni katika mkutano huo….