YANGA:TUNAKAMIWA KWENYE MECHI ZETU
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amesema licha ya kuibuka na ushindi 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons, kikosi chake kinakutana na wakati mgumu kwani kila timu wanayokutana nayo inacheza kama fainali dhidi yao. Yanga imefikisha pointi 23 na kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikifuatiwa na Simba yenye pointi 18 na mchezo…