KOCHA SIMBA ANA HISTORIA YA JWANENG GALAXY WALICHOWAFANYA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema vijana wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Big Bullets. Mgunda amebainisha kuwa historia yakufungwa nyumbani msimu uliopita wa 2021/22 na kutolewa katika hatua za awali anazo hata wachezaji wanajua kuhusu hilo. Huu ni mchezo wa marudio wa Ligi ya Mabingwa…