
SIMBA NDANI YA DAR,KANOUTE,INONGA,MANULA NDANI
WACHEZAJI wa Simba pamoja na viongozi usiku wa kuamkia leo Aprili 26 wameweza kurejea salama Tanzania wakitokea nchini Afrika Kusini ambapo walikuwa na mchezo wa hatua ya robo fainali. Ilikuwa ni robo fainali ya pili na ya maamuzi ambapo Simba iliweza kuambulia kichapo cha bao 1-0 ugenini. Kwa kuwa walikuwa wameshinda nao pia bao 1-0…