
HT:YANGA 1-0 SIMBA, NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
UWANJA wa CCM Kirumba, dk 45 za kipindi cha kwanza kwa watani wa jadi kutoana jasho zimekamilika na ubao unasoma Yanga 1-0 Simba. Dakika 15 za mwanzo ilikuwa ni msako kwa kila timu kutafuta bao la kuongoza ambapo hakukuwa na aliyeweza kuona lango la mpinzani. Yanga ilibidi wasubiri mpaka dk ya 25 huku mtupiaji akiwa…