
MSHAMBULIAJI WA KAZI ATAJWA KUINGIA RADA ZA YANGA
KUTOKANA na taarifa kueleza kuwa nyota wao Dario Federico yupo kwenye hesabu za kuondoka ndani ya Singida Big Stars timu hiyo imebainisha kuwa nyota huyo bado yupo ndani ya kikosi hicho. Habari zimeeleza kuwa mshambuliaji huyo ambaye amekuwa kwenye mwendo mzuri wa kufanya vizuri katika mechi za hivi karibuni yupo kwenye hesabu za Yanga. Yanga…