
HAJI MANARA:NILIKUJA KAMA MSHEREHESHAJI TU
HAJI Mnara,amesema kuwa kwenye tamasha la Wiki ya Mwananchi amehudhuria pale akiwa ni MC na sio msemaji wa Yanga. Agosti 6,2022 katika kilele cha Wiki ya Mwananchi,Manara aliibuka na kufanya sapraizi kubwa kwa mashabiki na wanachama wa Yanga. Ikumbukwe kwamba Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) ilitoa adhabu kwa Manara Julai 21 mwaka…