
MAUJUZI YA CHAMA, SAKHO KUWAONA NI BURE KABISA
BAADA ya mechi mbili za kirafiki nchini Sudan, leo Septemba 3,2022 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki kitamenyana na Arta Solar saa 4:00 asubuhi, Uwanja wa Uhuru. Mchezo wa kwanza kwenye michuano maalumu ambayo Simba walialikwa walishinda mabao 4-2 dhidi ya Asante Kotoko na ule wa pili walipoteza kwa kufungwa bao 1-0…