
WAZAWA KWENYE VITA YAO LEO, UWANJA WA MAJALIWA
MATHEO Anthony, mzawa anayekipiga ndani ya KMC akiwa na tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi ndani ya KMC kwa Septemba anatarajiwa kukutana na staa namba moja wa Namungo Relliats Lusajo. Lusajo yeye ana tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Agosti ndani ya ligi na ni namba moja kwa utupiaji akiwa na mabao matano msimu…