
TIMO KUKOSA KOMBE LA DUNIA
NYOTA wa timu ya Taifa ya Ujerumani na Klabu ya RB Leipzig ya nchini humo ambaye amewahi kukipiga katika klabu ya Chelsea Timo Werner, huenda akakosekana katika michuano ya Fainali za Kombe la Dunia 2022 zinazotarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Novemba 21. Werner alipata majeraha ya kifundo cha mguu katika mchezo wa mwisho wa hatua…