
WATANO YANGA WAACHWA NA NABI
MASTAA watano wa kikosi cha Yanga wameachwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi
MASTAA watano wa kikosi cha Yanga wameachwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi
KIKOSI cha Ihefu leo kinawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Kwenye kikosi ambacho kimetolewa kwa Ihefu jeshi la kazi lipo namna hii:- Mapara, Nicolas Wadada Mwasapili Nyosso Kissu Onditi Loth Tigere Mahundi yeye ni nahodha Mwalyanzi Jaffary Kibaya
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinachotarajiwa kuanza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu hiki hapa:- Diarra Djigui Kibwana Shomari Lomalisa Mutambara Dickson Job Yannick Bangala Zawad Mauya Kalid Aucho Sure Boy Fiston Mayele Jesus Moloko Tuisila Kisinda
KOCHA Juma Mgunda ambaye anainoa Simba ametaja ugumu ulipo kwenye kikosi hicho msimu wa 2022/23
KIUNGO wa Yanga, Bernard Morrison anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Ihefu utakaochezwa Uwanja wa Highland Estate. Nyota huyo ataungana na wachezaji wengine ikiwa ni pamoja na Feisal Salum, Heritier Makambo ambao hawajawa fiti. Nyota hawa walikosekana pia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City wakati timu hiyo ilipoibuka na ushindi wa mabao…
MOSES Phiri nyota wa Simba amevunja rekodi yake ya kushindwa kufunga nje ya Dar kwenye mechi za ligi ambazo alicheza msimu huu wa 2022/23. Kibindoni Phiri ana mabao 8 ambapo sita alifunga Uwanja wa Mkapa aliwafunga bao mojamoja Geita Gold,Kagera Sugar,KMC,Dodoma Jiji, Mtibwa Sugar na Namungo. Nje ya Dar ilikuwa dhidi ya Tanzania Prisons, ubao uliposoma Prisons…
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mechi yao dhidi ya Ihefu ni ngumu kuliko mchezo wa Dabi. Leo Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate. Yanga imetoka kushinda mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City na mabao yote yalifungwa…
USHINDI wa bao 1-0 Uswisi ambao wamepata timu ya taifa ya Brazil mbele ya Uswisi umewapa tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022, Qatar. Bila ya staa wao Neymar Brazili imetinga hatua ya 16 bora kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mwanzo mwisho Uwanja wa 974. Dakika ya 83 bao hilo limefungwa…
TIMU ya taifa ya Ureno imetinga hatua ya 16 bora kwenye Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Uruguay. Mbele ya mashabiki 88,668 mashabiki walishuhudia mabao yote yakifungwa na Bruno Fernandes ambaye alikuwa kwenye ubora wake. Dakika ya 54 na 90 alipachika bao hilo kwa mkwaju wa penalti na…
SIMBA yapania kuishusha Yanga, Wazungu wamuwekea Fei Toto 700 M ndani ya Spoti Xtra Jumanne
SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda gari limewaka ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kupata ushindi mbele ya Polisi Tanzania, Uwanja wa Ushirika,Moshi
BAADA ya kusepa na pointi tatu mbele ya Mbeya City,Novemba 26,2022 Uwanja wa Mkapa kituo kinachofuata ni Highland Estate. Yanga ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City na mtupiaji wa mabao yote mawili alikuwa ni Fiston Mayele ambaye anafikisha mabao 10. Mayele alipachika bao la uongozi kwa pasi ya Khalid Aucho na lile bao la…
GHANA imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Korea Kusini kwenye mchezo wa Kombe la Dunia ambao unatajwa kuwa mmoja ya mchezo bora kutokea mwaka huu 2022 Qatar. Nyota wa Ghana mwenye miaka 22 na siku 118 , Mohammed Kudus anakuwa staa wa pili kutoka Afrika mwenye umri mdogo kufunga mabao mawili kwenye Kombe…
ANGALAU timu ya taifa ya Cameroon imepata matumaini ya kutinga hatua ya 16 bora Kombe la Dunia Qatar lakini itakutana na kigogo kizito Ijumaa dhidi ya Brazil. Sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Serbia inawapa nguvu ya kupambana mchezo ujao licha ya kwamba walikuwa na nafasi ya kushinda mchezo wa leo. Ni Jean-Charles Castelletto…
KWENYE orodha ya nyota watatu wa Simba ambao wameingia fainali ya kuwania mchezaji bora chaguo la mashabiki ndani ya Novemba kiungo Mzamiru Yassin jina lake limepenya pia. Wengine wawili ambao anapambana nao ni pamoja na Shomari Kapombe ambaye ni beki wa kazi pamoja na kiungo mgumu Sadio Kanoute. Kikosi hicho jana Novemba 27,2022 kilikuwa na…
MWANZO siku zote ni wakati wa kutengeneza mwisho kwenye mpango kazi ambao unafanyika hivyo kwa sasa ni maandalizi kwa ajili ya kukamilisha ligi msimu wa 2022/23. Tunaona kuna timu ambazo ushindani wake umekuwa ni wa kawaida wakiamini kwamba wataendelea kucheza ligi hii muda wote hata msimu ukiisha. Kwa wale ambao wanafikiria hivyo kwa sasa ni…