
MERIDIANBET WAONGOZA ZOEZI LA USAFI UPANGA
Kampuni ya meridianbet imeongoza zoezi la usafi katika maeneo ya bustani inayomilikiwa na serikali Upanga, Mtaa wa Charambe. Serikali ya mtaa wa Charambe pia ilishiriki zoezi hili. Kampuni hii imeshirikisha wadau mbalimbali wanaozunguka eneo hilo, wakiwemo wafanyakazi na wafanyabiashara wa maeneo hayo. Serikali ya mtaa, ikiwakilishwa na mwenyekiti na mtendaji nao walishiriki kuunga mkono…