
WAKATI WENU SASA KIMATAIFA SIMBA, YANGA
TAYARI makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika yamewekwa hadharani huku wawakilishi wetu Simba na Yanga wakiwafahamu wapinzani wao ambao watachuana nao kuisaka hatua ya robo fainali ya mchuano hiyo. Simba wamepangwa na timu za Horoya, Raja Casablanca na Vipers huku Yanga wakiwa kundi moja na miamba Real Bamako, TP…