WAWA AAGWA SIMBA KWA USHINDI UWANJA WA MKAPA
BEKI kisiki wa Simba, jana Juni 23 2022 aliagwa rasmi kwenye kikosi hicho kwa kushuhudia ushindi wa mabao 2-0 kwa timu hiyo ambayo inacheza Ligi Kuu Bara. Ni mabao ya Pape Sakho dk ya 17 na Peter Banda dk ya 44 yalitosha kuipa pointi tatu Simba, kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Wawa ambaye amedumu…