Saleh

MASTAA WATANO SIMBA WAKOSA UFUNDI WA MAKI MISRI

ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amekosa kuona ufundi wa majembe matano ya kikosi cha Simba kambini Misri kwa kuwa walikuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars. Ni Kened Juma,Mzamiru Yassin,Kibu Dennis,Aishi Manula na Mohamed Hussein hawataibukia Misri kwa kuwa kikosi hicho kinatarajiwa kurejea kesho kuendelea na maandalizi kuelekea Simba Day,Agosti 8. Kipa…

Read More

HANS PLUIJM KUTAMBULISHWA SINGIDA BIG STARS

INAELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Singida Big Stars,Hans Pluijm atatangazwa rasmi na benchi lake jipya Uwanja wa Liti Agosti 4 siku ya tamasha lililopewa jina la Big Day Habari zinaeleza kuwa Singida Big Stars imefikia hatua nzuri na Pluijm kuweza kurejea kwa mara nyingine tena kwenye ardhi ya Tanzania aliwahi kuifundisha Yanga,Azam FC na Singida…

Read More

MABAO TISA UHAKIKA NDANI YA YANGA

 MASHINE mbili za kazi ndani ya kikosi cha Yanga ni uhakika kuwa ndani ya kikosi hicho baada ya kuongeza madili mapya mpaka 2024. Ni Djuma Shaban mzee wa kumwaga maji na mchezaji bora wa msimu wa 2021/22 Yannick Bangala wote wawili raia wa DR Congo wameongeza kandarasi ya miaka miwili. Wawili hao walihusika kwenye mabao…

Read More

TAMBO MUHIMU LAKINI VITENDO VINAHITAJIKA ZAIDI

TAMBO kwa sasa kwa  zinazidi kutawala ambapo kila mmoja anaamini kwamba amefanya usajili mzuri na anaweza kuchukua kila kitu ambacho anakihitaji. Ipo hivyo na ni maisha ya mpira hakuna anayeweza kuzuia maneno ambayo yanatokea lakini ukweli unabaki ukweli kwamba mpira unahitaji vitendo zaidi. Yale maneno ambayo yamekuwa yakitolewa na mashabiki pamoja na viongozi yana muda…

Read More

SIMBA KURUDI KWA KASI MSIMU UJAO,NYOTA WAPYA WATAJWA

SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa usajili ambao umefanywa kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho kunawafanya warudi msimu ujao wakiwa na kasi nyingine. Nyota sita wametambulishwa Simba ikiwa ni wazawa wawili ambao ni Habib Kyombo na Nassoro Kapama huku wageni ikiwa ni Moses Phiri, Mohamed Outtara,Victor Ackpan,Auhgustine Okra. Matola amesema kuwa kwa namna ambavyo…

Read More

RATIBA NI PASUA KICHWA KWA NABI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba yao ya Ligi kuwabana wachezaji kiasi cha kukosa muda wa kutosha wa kupumzika. Nabi raia wa Tunisia ambaye ameiongoza Yanga kutwaa mataji matatu msimu uliyopita amesema hayo mara baada ya kurejea Kambini, Avic Town ambako…

Read More

KIUNGO MPYA SIMBA ANAFIKIRIA MAKOMBE

KIUNGO Mnigeria Victor Akpan ambaye ametambulishwa ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kwa msimu ujao anaamini kuwa watashinda makombe baada ya timu hiyo kuwa na wakati mbaya msimu uliopita. Tayari kiungo huyo ametambulishwa ndani ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea kikosi cha Coastal Union. Akpan alitupia bao moja na kutoa pasi mbili ndani…

Read More

BALAA LA DATA ZA SOPU STARS HILI HAPA

MCHEZO wa kwanza walipokutana aliwafunga ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Somalia 0-1 Tanzania walipokutana mara ya pili akawafunga tena. Anaitwa Abdul Suleiman,’Sopu’ kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Star ambaye anafanya kazi ngumu kuwa nyepesi. Alihusika kwenye mabao mawili wakati Stars ikishinda 2-1 Somalia kwenye mchezo wa pili,Uwanja wa Mkapa ambapo alifunga…

Read More

PSG WAANZA MSIMU KWA TAJI

PARIS Saint Germain,(PSG) wamefanikiwa kufungua msimu wa 2022/23 kwa kutwaa taji la Trophee des Champions ambapo Lionel Mess,Neymar Jr na Sergio Ramos waliweza kufanya kweli. PSG waliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nantes kwenye mchezo uliokuwa ni wa ufunguzi wa msimu mpya wa 2022/23. Kwenye mchezo huo mabao ya PSG yalifungwa na Messi…

Read More

ATAKAYEVAA KITAMBAA KWA WASHIKA BUNDUKI NI ODE

KLABU ya Arsenal imemtangaza rasmi Martin Odegaard kuwa ni nahodha mpya kuelekea msimu mpya wa 2022/2023. Arsenal ilimsajili mchezaji huyo kutoka timu ya Real Madrid kwa mkopo kabla ya kukamilisha dili la kumsajili moja kwa moja kwa ada ya Paundi milioni 30 kufuatia kufanya vizuri ndani ya kikosi hicho cha washika mtutu wa London. Hivyo…

Read More

KIUNGO MUDHATHIR APEWA MKONO WA ASANTE AZAM FC

KIUNGO wa kazi Mudhathir Yahya hatakuwa sehemu ya kikosi cha Azam FC baada ya mkataba wake kuisha na mabosi wake hao kuamua kutomuongezea mkataba mpya. Muda hakuweza kusafiri na timu kuelekea nchini Misri kwa kuwa alikuwa na majukumu kwenye timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Stras ilikuwa na kazi ya kusaka tiketi ya kucheza…

Read More

YANGA KILA KITU NI BYUTIBYUTI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea Wiki ya Mwananchi,Agosti 6,2022 kila kitu Byuti Byuti kama ilivyo slogan yao kwa mwaka huu. Makamu wa Rais Young Africans SC na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Wiki ya Mwananchi,Arafat Haji amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na kila kitu kinakwenda sawa. “Agosti 6 ndiyo siku pekee ambayo…

Read More