
SIMBA YAKUSANYA FURUSHI LA POINTI KANDA YA ZIWA
KWENYE msako wa pointi 9 kanda ya Ziwa kikosi cha Simba kimegotea kwenye pointi 7 baada ya kuyeyusha pointi mbili. Furushi la pointi 7 wanarejea nazo Dar wakiwa nafasi ya pili kwenye msimamo na pointi zao ni 41 vinara ni Yanga wenye pointi 47 wote wamecheza mechi 18. Ni mechi tatu Simba chini ya Kocha…