
MZUNGUKO WA PILI YANGA KUJA KIVINGINE
CEDRIC Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mzunguko wa pili watakuwa tofauti kwenye upande wa kasi ya ufungaji wa mabao pamoja na ulinzi. Timu hiyo imekamilisha mzunguko wa kwanza ikiwa imepoteza mchezo mmoja kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu na inaongoza ligi ikiwa na pointi 38. Kaze amesema kuwa kukamilisha mzunguko wakiwa wanaongoza…