
VIDEO:TUNDA AWACHAMBUA CHAMA,SAKHO,BALEKE
TUNDA awachambua Chama, Sakho, Baleke, apewa jezi na Saido
TUNDA awachambua Chama, Sakho, Baleke, apewa jezi na Saido
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanaamini kwamba Namungo ni moja ya timu ngumu ambapo inafanya vizuri kwenye mechi za ugenini
HAWA hapa wapya ambao wameanza kukiamsha ndani ya Bongo
Anaandika Saleh Ally, Morocco UNAWEZA kusema upepo umebadilika na huenda ndio kilikuwa kitu kilichowashangaza watu wengi baada ya mashabiki wa Morocco kuamua kuishangilia Al Ahly katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Dunia la Klabu. Mechi hiyo kwenye Uwanja wa Tengue ilihudhuriwa na watu wengi sana. Kwanza ilionekana kama ni kitu cha kushangaza kwa…
KWENYE mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Namungo ilipoteza pointi tatu mazima hivyo leo ina kazi nyingine ya kujiuliza mbele ya Yanga. Aziz KI kiungo mshambuliaji wa Yanga ambaye ni mtaalamu kwenye mapigo huru alikuwa sababu kwenye bao la kwanza lililowavuruga Namungo. Pigo lake la faulo akiwa nje kidogo ya 18 lilimshinda…
KIUNGO wa Simba Pape Sakho amefunga bonge moja ya bao dhidi ya Singida Big Stars dakika ya 63. Bao hilo linafanya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 3-1 Singida Big Stars. Mabao mawili ya awali kwa Simba ni mali ya Jean Baleke aliyepachika bao mapema dakika ya 8 na lile la pili ni mali…
MSAFARA wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala umefika salama makao makuu ya Tanzania, Dodoma kwa walima Zabibu. Azam FC kesho Januari ina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Ni msafara wa wachezaji 24 ambao wamejumuishwa kwenye kikosi hicho ikiwa ni pamoja na Prince…
VIUNGO wameamua kuonyesha makeke yao ndani ya Uwanja wa Mkapa ambapo ubao unasoma Simba 2-1 Singida Big Stars ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kiungo Clatous Chama amefikisha jumla ya pasi 14 akitoa ile ya kwanza kwa Jean Baleke dakika ya 8 na ile ya pili dakika ya 20 kwa Saidi Ntibanzokiza. Bonge moja…
WAKULIMA wa Alizeti, Singida Big Stars leo wana kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Simba mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hiki hapa kikosi kazi kinachotarajiwa kuanza namna hii:- Benedickt Haule Nicloas Gyan Nickson Kibabage Biemes Carno Pascal Wawa Aziz Andambwile Kelvin Nashon Yusuph Kagoma Meddie Kagere Bruno Gomez Franck Kazady Akiba Michael Christian…
KIKOSI cha Simba kina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Singida Big Stars mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza namna hii:- Aishi Manula Shomary Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Pape Sakho Baleke Mzamiru Yassin Ntibanzokiza Clatous Chama Akiba ni Beno Kakolanya Nyoni Gadiel…
MZEE wa saluti ndani ya Simba Moses Phiri afungukia hali yake kwa sasa
ISHU ya Yanga na SportPesa na Yanga, Yanga waja namna hii
KOCHA msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amewataja mastaa watakaoikosa mechi yao ya kesho ya ligi Februari 4,2023 dhidi ya Namungo FC, Uwanja wa Mkapa
USHIRIKINA umewaponza sio Simba mpaka Singida Big Stars
MSAFARA wa nyota 24 wanaokipiga ndani ya Azam FC leo Februari 3,2023 umeanza safari kuelekea Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februari 4,2023 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na wametumia usafiri wa ndege ya Air Tanzania. Mastaa hao ni hawa hapa:-1. Ali Ahamada 2. Iddrisu…
MO Dewji anazidi kupaa kwa utajiri, awa namba moja
MGUNDA atimka kambini Simba, Yanga yawatengea waarabu saa 120 ndani ya Championi Ijumaa