Saleh

MERIDIANBET YATOA BODABODA NA TV USSD & KASINO YA MTANDAONI

Meridianbet hatimaye imewatangaza washindi wake wa Promosheni kabambe ya Bashiri bila bando na kasino, Huku Said akijinyakulia Bodaboda yake mpyaa.  Piga *149*10# Chagua Tukupe Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette– Chagua Tukupe. Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Martina Nkurlu alishiriki zoezi la kuwakabidhi…

Read More

YANGA NDANI YA MALI KUWAVAA BAMAKO

MSAFARA wa Yanga ndani ya Mali kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika unaotarajiwa kuchezwa Februari 26. Kikosi hicho kilikwea pipa na Shirika la Ndege la Ethiopia tayari kwa ajili ya kuwavaa Real Bamako. Yanga ina pointi tatu kibindoni baada ya kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe na ilitunguliwa mchezo wa…

Read More

YANGA HAO KUIBUKIA MALI KAMILIKAMILI

BAADA ya kumaliza kete yao ya Ligi Kuu Bara Februari 22 kwa kusepa na pointi tatu mazima msafara wa Yanga umeanza safari kuelekea Mali. Februari 22 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma KMC 0-1 Yanga na kuipa pointi tatu Yanga ikiwa inaongoza ligi. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Clemnt Mzize akiwa ndani ya 18…

Read More

YANGA YAKOMBA POINTI ZOTE ZA KMC

HUKU kikosi cha Yanga kikiwa na nyota kadhaa ambao hawakuanza kikosi cha kwanza mchezo wa kimataifa dhidi ya TP Mazembe wamesepa na pointi tatu zote za KMC. Kazi kubwa imemalizwa ndani ya dakika 40 za mwanzo ambapo bao lilipachikwa na Clement Mzize dakika ya 38 na kuipa pointi tatu Yanga. Uimara wa ukuta wa timu…

Read More

RUVU SHOOTING INAPAMBANA KUREJEA KWENYE UBORA

UONGOZI wa Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa kwa sasa unapambana na hali waliyonayo kurejea kwenye ubora. Timu hiyo haijawa kwenye mwendo mzuri kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi za ligi. Mchezo wake uliopita ilipoteza pointi tatu kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Geita Gold, Uwanja wa Nyankumbu mchezo wao ujao ni dhidi ya…

Read More

KMC 0-1 YANGA, LIGI KUU BARA

DAKIKA 45 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma KMC 0-1 Yanga ikiwa ni mchezo wa ligi. Kazi kubwa imefanyika kwa timu zote kusaka ushindi ambapo ni Yanga walikuwa wa kwanza kuwatungua KMC. Bao la uongozi limejazwa kimiani na Clement Mzize ambaye alimalizia pigo la kona lililomshinda mlinda mlango David Kissu.

Read More

MTIBWA SUGAR YAIVUTIA KASI SINGIDA BIG STARS

BAADA ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji kituo kinachofuata kwa Mtibwa Sugar ni dhidi ya Singida Big Stars. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Maungu, Morogoro dakika 90 zilipokamilika timu hiyo ilisepa na pointi tatu. Kituo kinachofuata ni dhidi ya Singida Big Stars mchezo unaotarajiwa kuchezwa Februri 27,2023 Uwanja wa Liti. Tayari…

Read More

YANGA KUONGEZA HALI YA KUJIAMINI KWA KMC

KOCHA Mkuu wa KMC, Hitimana Thiery amesema kuwa watapambana kupata matokeo mazuri dhidi ya Yanga ili kurejesha hali ya kujiamini kwa wachezaji wake. Timu hiyo ilitoka kupoteza mchezo wake uliopita dhidi ya Ruvu Shooting kwa kufungwa mabao 2-1 Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Katika mchezo huo waliokuwa ugenini KMC ilikwama kufurukuta mbele ya Ruvu Shooting wazee…

Read More