
CITY YATINGA NUSU FAINALI UEFA
MANCHESTER City inatinga hatua ya nusu fainali UEFA Champions League kwa jumla ya ushindi wa mabao 1-4. Katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Allianz Arena ubao ulisoma Bayern Munich 1-1 City. City ilianza kupata ushindi kupitia kwa Erling Haaland dakika ya 57. Ni Joshua Kimmich dakika ya 83 alipachika bao katika mchezo huo kwa pigo…